
Presentazione dello speciale della Rivista AffarInternazionali
Mercoledì 29 maggio 2013, dalle 16:00 alle 18:00 - Università di Bologna, Dipartimento di Scienze Politiche e Sociali - DSPS, Strada Maggiore, 45
Libreria Coop Ambasciatori
“Stasera parlo io”
Bologna, via Orefici Mercoledì 5 giugno alle 21.30
Pakistan: molte ambiguità nell'urna - Un dossier ISPI
Percorsi in terre vicine e lontane. Trekking Italia torna in Salaborsa. Tutti gli incontri si tengono alle 17.30 in Auditorium Enzo Biagi di Salaborsa, piazza Nettuno 3
dal sindaco Giusi Nicolini
Concorso lanciato dalla Commissione Europea - Direzione Generale degli Affari Interni. Scadenza 21 giugno 2013.
Migrazioni, sviluppo, diritti: idee libere di muoversi
Seminario della Laurea Magistrale in Antropologia culturale ed Etnologia. A cura di Zelda Alice Franceschi e Valentina Peveri. Dal 4 febbraio al 14 maggio 2013.
Nel cinquantenario dell'indipendenza dell'Algeria dalla Francia (3 luglio 1962) Rai Storia dedica una serie di trasmissioni alla decolonizzazione. A cura di Marcella Emiliani con la collaborazione di Giorgio Serafini.
ASAI Associazione per gli studi africani in Italia
Una ricerca a cura dell’Ufficio di Direzione “Beni, Servizi e Attività Culturali” - Sistema Bibliotecario Provinciale di Roma, pubblicata nel 2012.
Petizione in favore di Habib Kazdaghli, preside della Facoltà di Arti, Lettere, e Scienze Umane dell’Università di Tunisi-Manouba
Ebook liberamente scaricabile, raccoglie i progetti selezionati dal concorso "Anti Racism Good Practice Collection" indetto dall’associazione "Razzismo è una brutta cosa".
Lettera del Prof. Mohamed Haddad
Maktaba Amilcar Cabral
Juu ya Asia na Afrika na Amerika ya Kusini
Via San Mamolo 24 - 40136 Bologna (Italia)
Simu 051/581464 - faksi 051/6448034
Baruapepe: amicabr@comune.bologna.it
Wakati wa kazi ya Maktaba:
Jumatatu: toka saa saba na nusu adhuhuri mpaka saa moja usiku;
Jumanne, Jumatano, Alhamisi: toka saa mbili na nusu asubuhi mpaka saa moja usiku;
Ijumaa na Jumamosi: toka saa mbili na nusu asubuhi mpaka saa saba na nusu asubuhi
Maktaba ya Amilcar Cabral ya Bologna inashughulika na mambo ya kimataifa na hasa siasa, jamii, uchumi na utamaduni za mataifa ya Asia, Afrika na Amerika ya Kusini. Maktaba inaandaa vipindi vya taarifa na uchambuzi (mikutano, semina, maonyesho) kuhusu mada hizo.
Maktaba ina vitabu 30.000 na magazeti 400 (majarida 50 yanaendelea kununuliwa)
Mawanda yanayoshughulikiwa ni:
Historia, siasa, uchumi, jamii, fasihi, utamaduni na dini za Asia, Afrika na Amerika ya Kusini;
Ushirikiano wa kimataifa, msaada kwa maendeleo; maingiliano ya dharura na ya huruma;
Mapigano na kukomeshwa kwa mapigano
Haki za binadamu na hali ya wanawake wa nchi zinazoendelea;
Maendeleo yanayoweza kuendeleza;
Historia ya mikutano ya Mashariki na Magharibi; vitabu vya safari;
Uhusiano kati ya makabila na mataifa na uhamiaji.
Maktaba ina hazina ya Afrika ya Mashariki (vitabu 800 juu ya historia na utamaduni wa Afrika, masimulizi ya safari toka karne ya 19 mpaka mwanzo wa karne ya 20, wasifu, historia kwa jumla na historia ya jeshi la Waitaliani kwenye Afrika) iliyozawadiwa na familia ya Jenerali Guerrino Lasagni.
Kuna karibu na vitabu 950 vya hazina ya Paul Sebag vinavyozungumzia habari za Tunisia na Afrika ya Kaskazini. Hapa pana vitabu juu ya elimukale, historia, elimujamii ya mji, dini, hadithi za safari, uharamia wa baharini, lugha na fasihi za kiarabu, kiebrania, jiografia.
Orodha ya vitabu vya maktaba imeingizwa kwenye katalogi ya mtandao wa mawasiliano wa kitaifa SBN na unaweza kuiona online (http://solo.cib.unibo.it:8080/SebinaOpac/Opac?sysb=UBOAI).
Huduma:
Makaribisho na ushauri;
Kukopesha vitabu;
Mkopo toka maktaba nyingine;
Uwasilishaji wa vitabu;
Uwekaji wa vitabu
Mapendekezo ya vitabu vya kununulia;
Kuviona vitabu;
Kuiona hazina ya Guerrino Lasagni;
Kuiona hazina ya Paul Sebag;
Habari za bibliografia, kwa baruapepe (amicabr@comune.bologna.it), kwa simu (051581464), kwa BiblioChat na huduma ya marejeo online inayoitwa "Chiedilo al bibliotecario" (maana yake ni "Mwulize mkutubi") (http://www.centrocabral.com/adon.pl?act=doc&doc=338);
Kusoma magazeti na majarida;
Fotokopi;
Kuiona katalogi online;
Mahali pa kusoma;
Kompyuta inayowezesha kutafuta kwenye mtandao;
Infopoint (kwa mwanafunzi wa nje).